Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 32:7-8

Kut 32:7-8 SUV

BWANA akamwambia Musa, Haya! Shuka; kwa maana watu wako uliowatoa katika nchi ya Misri wamejiharibu nafsi zao, wamepotoka upesi kuiacha ile njia niliyowaamuru, wamejifanyizia ndama ya kuyeyusha wakaiabudu na kuitolea dhabihu, wakasema, Hiyo ndiyo miungu yako, Ee Israeli, iliyokutoa katika nchi ya Misri.

Soma Kut 32

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 32:7-8