Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 17:11-12

Kutoka 17:11-12 BHN

Ikawa wakati wote Mose alipoinua mkono wake juu, Waisraeli walishinda, na alipouteremsha, Waamaleki walishinda. Lakini baada ya muda, mikono ya Mose ilichoka. Kwa hiyo Aroni na Huri walichukua jiwe wakaliweka karibu na Mose naye akaketi. Kisha wakaishika na kuiinua mikono yake, mmoja akauinua mkono wa kulia na mwingine mkono wa kushoto. Hivyo mikono ya Mose ikabaki imara ikiwa imeinuliwa juu hadi jua lilipotua.

Soma Kutoka 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 17:11-12