Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 16:8

Kutoka 16:8 BHN

Tena Mose akasema, “Jioni, Mwenyezi-Mungu atawapeni nyama mle, na asubuhi atawapeni mikate mle mshibe, maana yeye ameyasikia manunguniko mliyomnungunikia. Sisi ni nani hata mtunungunikie? Msitunungunikie sisi bali mnungunikieni Mwenyezi-Mungu.”

Soma Kutoka 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 16:8