Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 16:8

Kut 16:8 SUV

Musa akasema, Ndilo litakalokuwa, hapo BWANA atakapowapa nyama wakati wa jioni mle, na asubuhi mikate hata mkakinai; kwa kuwa BWANA asikia manung’uniko yenu mliyomnung’unikia yeye; na sisi tu nani? Manung’uniko yenu hayakuwa juu yetu sisi, ila juu ya BWANA.

Soma Kut 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 16:8