Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 13:17

Kutoka 13:17 BHN

Wakati Farao alipowaachia Waisraeli waende zao, Mungu hakuwapitisha katika nchi ya Wafilisti, ingawa njia hiyo ilikuwa ya karibu. Mungu alisema, “Sipendi watu hawa wabadilishe nia na kurudi Misri wakijua itawabidi kupigana vita.”

Soma Kutoka 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 13:17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha