Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 6:10-12

Waefeso 6:10-12 BHN

Hatimaye, nawatakeni muwe imara katika kuungana na Bwana na kwa msaada wa nguvu yake kuu. Vaeni silaha anazowapeni Mungu mpate kuzipinga mbinu mbaya za Ibilisi. Maana vita vyetu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi ovu la ulimwengu wa roho; tunapigana na watawala, wakuu na wenye nguvu, wanaomiliki ulimwengu huu wa giza.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 6:10-12