Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 6:10-12

Efe 6:10-12 SUV

Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Soma Efe 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Efe 6:10-12