Mhubiri 2:5-6
Mhubiri 2:5-6 BHN
Nilijifanyia bustani na viunga, nikapanda miti ya matunda ya kila aina. Nilijichimbia mabwawa ya maji ya kumwagilia hiyo miti.