Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 33:4-5

Kumbukumbu la Sheria 33:4-5 BHN

Mose alituamuru tutii sheria; kitu cha thamani kuu cha taifa letu. Mwenyezi-Mungu akawa mfalme wa Israeli, wakati viongozi wao walipokutana, na makabila yote yalipokusanyika.