Kumbukumbu 33:4-5
Kumbukumbu 33:4-5 NEN
sheria ile Mose aliyotupa sisi, tulio milki ya kusanyiko la Yakobo. Alikuwa mfalme juu ya Yeshuruni wakati viongozi wa watu walipokusanyika, pamoja na makabila ya Israeli.