Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 32:35-36

Kumbukumbu la Sheria 32:35-36 BHN

Kisasi ni juu yangu, mimi nitalipiza, wakati miguu yao itakapoteleza; maana siku yao ya maafa imewadia, mwisho wao u karibu sana. Mwenyezi-Mungu atawatetea watu wake, na kuwahurumia watumishi wake, wakati atakapoona nguvu zao zimeishia, wala hakuna aliyebaki, mfungwa au mtu huru.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Sheria 32:35-36

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha