Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 32:35-36

Kumbukumbu 32:35-36 NEN

Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.” BWANA atawahukumu watu wake, na kuwahurumia watumishi wake atakapoona nguvu zao zimekwisha wala hakuna yeyote aliyebaki, mtumwa au aliye huru.

Video for Kumbukumbu 32:35-36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 32:35-36