Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 30:11-14

Kumbukumbu la Sheria 30:11-14 BHN

“Amri ninazowapa leo si ngumu mno kwenu, wala haziko mbali nanyi. Haziko mbinguni hata mseme, ‘Nani atakayepanda juu mbinguni kutuletea ili tupate kuzisikia na kuzitii?’ Wala haziko ngambo ya bahari, hata mseme, ‘Nani atakayevuka bahari atuletee ili tuzisikie na kuzitii.’ Sivyo, ila zipo karibu nanyi, vinywani mwenu na mioyoni mwenu, mpate kuzitekeleza.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Sheria 30:11-14