Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 30:11-14

Kumbukumbu 30:11-14 NEN

Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. Hakiko juu mbinguni, ili uulize, “Ni nani atakayepanda mbinguni kukileta na kututangazia ili tuweze kutii?” Wala hakiko ngʼambo ya bahari, ili uulize, “Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?” La hasha! Lile neno liko karibu sana nawe; liko kinywani mwako na ndani ya moyo wako ili uweze kulitii.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 30:11-14