Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 20:1

Kumbukumbu la Sheria 20:1 BHN

“Mkienda vitani kupigana na adui zenu, mkaona farasi, magari na jeshi kubwa zaidi kuliko lenu msiwaogope. Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyewatoa Misri, atakuwa nanyi.