Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 20:1

Kumbukumbu la Torati 20:1 SRUV

Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.