Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 1:9-10

Wakolosai 1:9-10 BHN

Kwa sababu hiyo tumekuwa tukiwaombeeni daima tangu wakati tulipopata habari zenu. Tunamwomba Mungu awajazeni ujuzi kamili wa matakwa yake, pamoja na hekima yote na ujuzi wa kiroho. Hapo mtaweza kuishi kama anavyotaka Bwana na kutenda daima yanayompendeza. Maisha yenu yatakuwa yenye matunda ya kila namna ya matendo mema na mtazidi kukua katika kumjua Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 1:9-10