Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 1:9-10

Wakolosai 1:9-10 NEN

Kwa sababu hii, tangu siku ile tuliposikia habari zenu, hatujakoma kuomba kwa ajili yenu na kumsihi Mungu awajaze ninyi maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote ya kiroho na ufahamu. Nasi tunaomba haya ili mpate kuishi maisha yanayostahili mbele za Bwana, na mpate kumpendeza kwa kila namna: mkizaa matunda kwa kila kazi njema, mkikua katika kumjua Mungu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 1:9-10