Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 1:13-14

Wakolosai 1:13-14 BHN

Yeye alituokoa katika nguvu ya giza, akatuleta salama katika ufalme wa Mwanae mpenzi. Kwake yeye tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 1:13-14