Wakolosai 1:13-14
Wakolosai 1:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye alituokoa katika nguvu ya giza, akatuleta salama katika ufalme wa Mwanae mpenzi. Kwake yeye tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alituokoa kutoka kwa nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake mpendwa; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi
Shirikisha
Soma Wakolosai 1