Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 9:17-18

Matendo 9:17-18 BHN

Basi, Anania akaenda, akaingia katika hiyo nyumba. Kisha akaweka mikono yake juu ya Saulo, akasema, “Ndugu Saulo, Bwana ambaye ndiye Yesu mwenyewe aliyekutokea ulipokuwa njiani kuja hapa, amenituma ili upate kuona tena na kujazwa Roho Mtakatifu.” Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 9:17-18