Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 9:1-2

Matendo 9:1-2 BHN

Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa kuhani mkuu, akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa masunagogi ya Kiyahudi kule Damasko, ili akikuta huko wanaume au wanawake wanaofuata Njia hiyo, awakamate na kuwaleta Yerusalemu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 9:1-2