Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 9:1-2

Mdo 9:1-2 SUV

Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu, akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.

Soma Mdo 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 9:1-2