Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 4:29-30

Matendo 4:29-30 BHN

Lakini sasa, ee Bwana, angalia vitisho vyao. Utuwezeshe sisi watumishi wako kuhubiri neno lako kwa uhodari. Nyosha mkono wako ili uponye watu. Fanya ishara na maajabu kwa jina la Yesu Mtumishi wako Mtakatifu.”