Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 4:29-30

Matendo 4:29-30 SRUV

Basi sasa, Bwana, viangalie vitisho vyao; ukawajalie watumwa wako kunena neno lako kwa ujasiri wote, ukinyosha mkono wako kuponya; ishara na maajabu vifanyike kwa jina la Mtumishi wako mtakatifu Yesu.

Soma Matendo 4