Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 20:7-8

Matendo 20:7-8 BHN

Jumamosi jioni tulikutana ili kumega mkate. Kwa vile Paulo alikuwa amekusudia kuondoka kesho yake, aliwahutubia watu na kuendelea kuongea nao hadi usiku wa manane. Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka.

Video for Matendo 20:7-8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 20:7-8