Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 20:7-8

Mdo 20:7-8 SUV

Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubu, akiazimu kusafiri siku ya pili yake, naye akafuliza maneno yake hata usiku wa manane. Palikuwa na taa nyingi katika orofa ile tulipokuwa tumekusanyika.

Soma Mdo 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 20:7-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha