Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 4:3-4

2 Timotheo 4:3-4 BHN

Utakuja wakati ambapo watu hawatasikiliza mafundisho ya kweli, ila watafuata tamaa zao wenyewe na kujikusanyia waalimu tele watakaowaambia mambo yale tu ambayo masikio yao yako tayari kusikia. Watakataa kuusikia ukweli, watageukia hadithi za uongo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 4:3-4