Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 2:24-26

2 Timotheo 2:24-26 BHN

Mtumishi wa Bwana asigombane. Anapaswa kuwa mpole kwa watu wote, mwalimu mwema na mvumilivu, ambaye ni mpole anapowaonya wapinzani wake, kwani huenda Mungu akawajalia nafasi ya kutubu, wakapata kuujua ukweli. Hapo fahamu zao zitawarudia tena, wakaponyoka katika mtego wa Ibilisi aliyewanasa na kuwafanya wayatii matakwa yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 2:24-26