Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Tim 2:24-26

2 Tim 2:24-26 SUV

Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu; akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awape kutubu na kuijua kweli; wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambao hao wametegwa naye, hata kuyafanya mapenzi yake.

Soma 2 Tim 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Tim 2:24-26