Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samueli 22:2-3

2 Samueli 22:2-3 BHN

Alisema, “Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu, na mkombozi wangu. Mungu wangu, mwamba wangu, ninayemkimbilia usalama; ngao yangu, nguvu ya wokovu wangu, ngome yangu na kimbilio langu. Mwokozi wangu; unaniokoa kutoka kwa watu wakatili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samueli 22:2-3