Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 22:2-3

2 Samweli 22:2-3 NEN

Akasema: “BWANA ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba wangu, ambaye kwake ninakimbilia, ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu na mwokozi wangu, huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 22:2-3