Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Petro 3:10-11

2 Petro 3:10-11 BHN

Siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake. Maadamu kila kitu kitaharibiwa namna hiyo, je, nyinyi mnapaswa kuwa watu wa namna gani? Mnapaswa kuishi kitakatifu na kumcha Mungu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Petro 3:10-11