Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Petro 3:10-11

2 Petro 3:10-11 SRUV

Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwizi; katika siku hiyo mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu, na viumbe vya asili vitaunguzwa, na kufumuliwa, na nchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea. Basi, kwa kuwa vitu hivi vyote vitafumuliwa hivyo, imewapasa ninyi kuwa watu wa tabia gani katika mwenendo mtakatifu na utauwa

Soma 2 Petro 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Petro 3:10-11