Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Yohane 1:2-3

2 Yohane 1:2-3 BHN

kwa sababu ukweli unakaa nasi milele. Neema na huruma na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika ukweli na upendo.