Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Yoh 1:2-3

2 Yoh 1:2-3 SUV

kwa ajili ya hiyo kweli ikaayo ndani yetu, nayo itakuwa pamoja nasi hata milele. Neema, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo.

Soma 2 Yoh 1