Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 2:7-8

2 Wakorintho 2:7-8 BHN

Iliyobakia ni afadhali kwenu kumsamehe mtu huyo na kumpa moyo ili asije akahuzunika mno na kukata tamaa kabisa. Kwa hiyo nawasihi: Mwonesheni kwamba mnampenda.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 2:7-8