Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 2:7-8

2 Wakorintho 2:7-8 SRUV

hata kinyume cha hayo, ni afadhali mmsamehe na kumfariji, mtu kama huyo asije akamezwa katika huzuni yake ipitayo kiasi. Kwa hiyo nawasihi kumthibitishia upendo wenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 2:7-8