Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 2:4-5

2 Wakorintho 2:4-5 BHN

Nilipowaandikia hapo awali katika hali ya huzuni na sikitiko moyoni na kwa machozi mengi, haikuwa kwa ajili ya kuwahuzunisha nyinyi, bali kwa ajili ya kuwaonesheni kwamba nawapenda mno. Ikiwa kuna mtu aliyemhuzunisha mwingine, hakunihuzunisha mimi, ila amewahuzunisha nyinyi nyote, na sipendi kuwa mkali zaidi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 2:4-5