Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 2:4-5

2 Kor 2:4-5 SUV

Maana katika dhiki nyingi na taabu ya moyo niliwaandikia na machozi mengi; si kwamba mhuzunishwe, bali mpate kujua upendo wangu nilio nao kwenu jinsi ulivyo mwingi. Lakini iwapo mtu amehuzunisha, hakunihuzunisha mimi tu, bali kwa sehemu (nisije nikalemea mno), amewahuzunisha ninyi nyote.

Soma 2 Kor 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 2:4-5