Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 12:9-10

2 Wakorintho 12:9-10 BHN

Lakini akaniambia: “Neema yangu inatosha kwa ajili yako; maana uwezo wangu hukamilishwa zaidi katika udhaifu.” Basi, ni radhi kabisa kujivunia udhaifu wangu ili uwezo wake Kristo ukae juu yangu. Kwa hiyo nakubali kwa radhi udhaifu, dharau, taabu, udhalimu na mateso, kwa ajili ya Kristo; maana ninapokuwa dhaifu, ndipo ninapokuwa na nguvu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 12:9-10