Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 3:12-13

1 Wathesalonike 3:12-13 BHN

Bwana awawezeshe nyinyi kupendana na kuwapenda watu wote zaidi na zaidi, kama vile sisi tunavyowapenda nyinyi. Hivyo ataiimarisha mioyo yenu, nanyi mtakuwa wakamilifu na watakatifu mbele ya Mungu na Baba yetu wakati Bwana wetu Yesu atakapokuja pamoja na wote walio wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 3:12-13