Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 The 3:12-13

1 The 3:12-13 SUV

Bwana na awaongeze na kuwazidisha katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, kama vile sisi nasi tulivyo kwenu; apate kuifanya imara mioyo yenu iwe bila lawama katika utakatifu mbele za Mungu, Baba yetu, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu pamoja na watakatifu wake wote.

Soma 1 The 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 The 3:12-13