Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 1:6-7

1 Wathesalonike 1:6-7 BHN

Nyinyi mlifuata mfano wetu, mkamwiga Bwana. Ingawa mliteswa sana, mliupokea ujumbe huo kwa furaha itokayo kwa Roho Mtakatifu. Kwa hiyo nyinyi mmekuwa mfano mzuri kwa waamini wote wa Makedonia na Akaya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 1:6-7