1 Wathesalonike 1:6-7
1 Wathesalonike 1:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mlifuata mfano wetu, mkamwiga Bwana. Ingawa mliteswa sana, mliupokea ujumbe huo kwa furaha itokayo kwa Roho Mtakatifu. Kwa hiyo nyinyi mmekuwa mfano mzuri kwa waamini wote wa Makedonia na Akaya.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 11 Wathesalonike 1:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea neno katika dhiki nyingi, pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu. Hata mkawa kielelezo kwa watu wote waaminio katika Makedonia, na katika Akaya.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 11 Wathesalonike 1:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea neno katika dhiki nyingi, pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu. Hata mkawa kielelezo kwa watu wote waaminio katika Makedonia, na katika Akaya.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 1