Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 22:1-2

1 Samueli 22:1-2 BHN

Daudi aliondoka huko akakimbilia kwenye pango karibu na mji wa Adulamu. Kaka zake na ndugu zake wengine waliposikia kwamba alikuwa hapo, wote walikwenda kuungana naye. Watu wote waliokandamizwa au waliokuwa na madeni, au wale ambao hawakuridhika walijumuika na Daudi. Jumla yao ilikuwa watu kama 400, naye akawa kiongozi wao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samueli 22:1-2