Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 22:1-2

1 Samweli 22:1-2 SRUV

Basi Daudi akaondoka huko, akakimbilia pango la Adulamu; na ndugu zake na watu wote wa ukoo wa baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko. Na kila mtu aliyekuwa katika hali ya dhiki, na kila mtu aliyekuwa na deni, na watu wote wenye uchungu mioyoni mwao, wakakusanyika kwake; naye akawa jemadari wao; nao waliokuwa pamoja naye walikuwa kama watu mia nne.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 22:1-2