Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 21:12-13

1 Samueli 21:12-13 BHN

Maneno hayo Daudi hakuweza kuyasahau, akaanza kumwogopa sana Akishi mfalme wa Gathi. Hivyo, akabadilisha tabia yake, akijifanya mwendawazimu, akawa anakwaruzakwaruza kwenye malango ya mji, na mate yake akayaacha yatiririke kwenye ndevu zake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samueli 21:12-13