Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 21:12-13

1 Sam 21:12-13 SUV

Naye Daudi akayatia maneno hayo moyoni mwake, akamwogopa sana Akishi, mfalme wa Gathi. Akaubadilisha mwenendo wake mbele yao, akajifanya mwenye wazimu mikononi mwao, akakuna-kuna katika mbao za mlango, na kuyaacha mate yake kuanguka juu ya ndevu zake.

Soma 1 Sam 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 21:12-13