Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 16:11

1 Samueli 16:11 BHN

Halafu akamwambia, “Je, wanao wote wako hapa?” Yese akajibu, “Bado yuko mdogo, lakini amekwenda kuchunga kondoo.” Samueli akamwambia, “Mtume mtu amlete; sisi hatutaketi chini, mpaka atakapokuja hapa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samueli 16:11